Kikwete na wanamtandao wanampotosha kuwa kwa kumshikilia tuko salama. Kufanya uchaguzi wakati kiongozi mkuu wa upinzani yuko mahabusu ni fedheha kwa rais na nchi kwa ujumla. Hakuna kosa la uhaini hapo
Balozi Liberata Mulamula ni wakati wa kuona aibu uwaachie damu changa viti maalumu. Huoni aibu ubebwe kama mzoga? Gombea jimbo au kaa nyumbani ulee wajukuu
Inaonekana watekaji ni idara ndani ya serikali ya ssh. Unaona anayemkosoa rais hutekwa. Haiwezekani mtekaji akawa nje ya chawa wa mama. Kuua,kuteka,kutisha watu ni dalili ya hofu kubwa ya kutokubalika sasa analazimisha kukubalika.
Kuna aliyekuwa kiongozi ndani ya chadema alipohamia chama cha kisamvu alitoa taarifa kuwa mzee Kibao alikuwa mtu mzuri wa kuplan mikakati ya chama na inafanikiwa. Inawezekana ndio sababu ya kuuawa.
Huyu ni rais aliyeshindwa kwenye utawala wake. Madudu aliyofanya kwa miaka 10 yalianikwa ndani ya siku 60 kama ifuatavyo:
1. Maelfu ya makonteina yalikamatwa bila kulipiwa ushuru. Mengine yalikamatwa nyumbani kwa watu.
2. Miter ya mafuta yanayoagizwa ilikuwa imeshaharibiwa na ushuru unalipwa...
Huyu ni rais aliyeshindwa kwenye utawala wake. Madudu aliyofanya kwa miaka 10 yalianikwa ndani ya siku 60 kama ifuatavyo:
1. Maelfu ya makonteina yalikamatwa bila kulipiwa ushuru. Mengine yalikamatwa nyumbani kwa watu.
2. Miter ya mafuta yanayoagizwa ilikuwa imeshaharibiwa na ushuru unalipwa...
Rais wetu SSH na kikwete(rais mstaafu) mnakataza dini na siasa. Kumbe shehe akivaa kijani anaruhusiwa kuchanganya dini na siasa kama inavyoonekana kwenye picha.
Trump anajua mwanamke hafai kuongoza nchi lakini kwenye nchi isiyo na democracy anaiba kura na kutangazwa mshindi. Uchaguzi ukifanyika bila reforms watakaochaguliwa Marekani itasema Haiwatambui itakuwa pigo kubwa. Wananchi watalazimishwa kupata taabu kwa kiburi cha ccm
Ni Mke wa Mchengerwa, waziri Tamisemi. Atachaguliwa kwa kivuli cha mama yake Samia. Mara nyingi Kilaza huzaa kilaza. Kama mchango wake ni 0 uwakilishi wake ni hasara kwa taifa.
Mfalme hajui kama yuko uchi na wanaomzunguka wanaona aibu kumwambia kuwa yuko uchi. Mashahidi wa mchongo kwa aibu wanaficha sura zao. Mbona kesi za mauaji mashahidi hawafichi sura zao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.