Recent content by Tyale

  1. T

    Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

    Habar zenu wana jamvi naomben msaada wenu mm ni mwanamke nina miaka29 nina miaka miwil sasa kwenye ndoa na sijabahatika kupata mtt nimejaribu kwenda hosptal mbalimbali naanbiwa mara tatzo ni homorn hazijabance mara ya mwisho nilipiga utrasound nikaambiwa nina utandu mweupe kwenye mfuko wa uzazi...
  2. T

    M-Power company

    habar zenu wapendwa tafadhali naomba msaada anaeifaham kampuni ya Empower inashughulika na nini na ipo maeneo gani katika jiji la Mwanza na vipi kuhusu malipo yao.Natanguliza shukrani
  3. T

    Mtaalamu wa kutengeneza Website

    Anahitajika mtaalamu wa kutengeneza website plz naomba uni PM ....natanguliza shukrani,
  4. T

    Nimepata kazi ninamshukuru Mungu na wana jf

    Amen ucsahau kutoa shukrani
  5. T

    viettel shinyanga

    mkuu umeona eeeh......yani kila sehemu majangaaaaa cjui tukimbilie wapi
  6. T

    viettel shinyanga

    Hahaaaa mkuu umeniacha hoi
  7. T

    viettel shinyanga

    waliofanya usahil tarehea18 viettel shinyanga kuna aliyeitwa??
  8. T

    Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

    nilituma emai kuomba application form then wakanitumia hyo application form nikajaza nikawatumia bac
  9. T

    Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

    mbona viulizo vingi ndugu uliza tu
  10. T

    Ajira za watendaji Shinyanga

    mkuu naomba unambie ni gazeti la tarehe ngapi
  11. T

    Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

    Yaaaap bt kwa mkoa wa shinyanga
  12. T

    Ajira za watendaji Shinyanga

    naomba niangalizie Anna Peter Mussa kama lipo
  13. T

    Nafasi 2000 za kazi, Viettel Tanzania

    nmefanyanao interview leo
  14. T

    Ajira za watendaji Shinyanga

    jamani mwenye hilo gazeti aniangalizie jina
  15. T

    Natafuta kazi ya udereva

    halmashauri ya wilaya ya baridi imetangaza nafasi za kazi za udereva cheki uaplay
Back
Top Bottom