NIMEBAINI ELIMU HAINA MWISHO.IBARA ULIYOTAJA IMETUMIA NENO ANGALAU.KUMAANISHA PENDEKEZO.INGESEMA WATANO WAWE WANAWAKE NDO HOJA YAKO INGEKUWA NA MASHIKO.TAFUTA MAANA YA NENO ANGALAU.PILI POSI KATEULIWA UBALOZI KUMAANISHA UBUNGE ATAACHIA .HIVYO KUTEULIWA NI.INA MAANA HATA WANGEKUWA WATANO NA...
NIMEBAIINI WEWE NI ZUZU,JINGA USIOJUA LOLOTE JUU YA SHERIA.HUJAAMBIWA NA KATIBA KUWA RAIS HATOLAZIMISHWA KUFUATA USHAURI ATAKAOPEWA.PILI KOSA LIKO WAPI? POSSI KATEULIWA NA ALIYEMTEUA KAMPA KAZI NYINGINE.WAPI SHERIA IMEVUNJWA.
Ndugu yangu tusitumie hoja ya ukosefu wa kipato bali tuegemee kwenye sheria na mantiki.Haiji akilini nikulipe fedha ya miezi sita na wewe ukae na fedha yangu hiyo pasina riba wakati mimi ningeitumia kuzalisha fedha zaidi.Mtu alipe monthly ila aseme atakaa kwa muda gani na muda ukiisha bado...
Kwani yeye kwenye hivyo vyombo anarushwa live? Anakuwa recorded then.Mkishabehave vizuri Bungeni tunaona uwezekano wa kurusha live lakini kwa matusi hayo mnayomwaga Bungeni ni lazima tulinde maadili ya Taifa letu.
Mikopo yenyewe hawarudishi kwa muda.Unazungumzia kumpa mwanafunzi mkopo ili akanunue tv.wenye sifa wamepewa.Hao ambao hawajapewa pia wajiulize kama wanalipa kodi isijekuwa wanalilia mkopo wakati kodi yenyewe hawalipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.