Recent content by Twissa

  1. T

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Yah zipo poa asante@maula
  2. T

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Mkuu io namba ni 0067 au 0066?
  3. T

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Asante mpendwa MUNGU akubariki
  4. T

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Naombeni mniangalizie hili jina Jacqueline B Tarimo
  5. T

    JamiiForums Tanzania NACTE: Wameanza kutoa sasa, status yangu inasoma SELECTED but NOT YET CONFIRMED

    Exactly, ukingia kwenye profile lako ndo utakutana na kitu kama hicho wale ambao mlikua hamjaelewa nadhani sasa mmeelewa
  6. T

    JamiiForums Tanzania NACTE: Wameanza kutoa sasa, status yangu inasoma SELECTED but NOT YET CONFIRMED

    Selected na chuo kipo mkuu sio kwamba hakipo yani kati ya vile vyuo ulivyochagua kimoja ndo wamekuachia then selection status wamekuandikia selected halafu comfirmation status wameandika not yet then kwa chin ndo wameandika be patient
  7. T

    JamiiForums Tanzania National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    We subiri io j3 uone profile yako itakuaje@ sandrael
  8. T

    JamiiForums Tanzania National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    Ambao hawajachaguliwa WATAWEZA KUBADILI MACHAGUO YAO soma apo juu mkuu
  9. T

    JamiiForums Tanzania National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    Yani kuna watu humu wamo kukatisha wenzio tamaa sio fresh mbadilike mnajijua. Watu wa nacte tusubiri j3 mana hata walioenda ofisini kwao waliambiwa hivyo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Maybe wanadeal na wale walioambiwa wamalizie application then watoe majina yote kwa pamoja
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nacte

    22 september mpaka 13 october mbona bado pana muda mkuu au we ulifikiri zinatoka 22 october?
  12. T

    JamiiForums Tanzania NACTE wangefanya kama TCU

    Tcu wameshatoa post bado sisi wa nacte
  13. T

    JamiiForums Tanzania NACTE wangefanya kama TCU

    Looh tunatia huruma kwakwel mimi leo nimeingia kwenye profile yangu yan gpa iliyokua jana na leo ni tofauti nimebaki nashangaa tuu sasa sijui system zao ni mbovu au vipi na kuna rafiki yang kakuta details zilizoko sio zake ni za mtu mwingne but saiv kalogin tena kakuta details zake zimerudi
  14. T

    JamiiForums Tanzania NACTE wangefanya kama TCU

    Selection wametoa lini???? Au mimi ndo sijaelewa
Back
Top Bottom