Recent content by Twiddy

  1. T

    Du! Yaani wa Tanzania hatuna muda tena wa kutumia vizuri ubongo na akili zetu, kwa nini?

    Ni mfumo wa akili zetu (mind set) ndio unatuangusha, kwani umejengwa na mazingira yetu ya kitanzania, familia zetu za kitanzania na mfumo wa elimu yetu tanzania.
  2. T

    Kushuka kwa kiwango cha elimu tanzania

    Kinachotakiwa kifanyike, ni kubadilisha kabisa mfumo wa elimu, kuanzia kwenye utawala, mitaala na uwezeshwaji kimaslahi na mazingira. Mfumo wenyewe bado haumkomboi (bado ni wa kikoloni) mtanzania ili aweze kujitegemea bali unamfanya awe na mawazo ya kitumwa ya kuajiliwa (white colar job) na sio...
Back
Top Bottom