Recent content by Tuvituvitu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Deo Filikunjombe: Tanzania sio mali ya CCM

    Ni vema penye ukweli tuseme. Kwa kweli huyu jamaa,kakomaa, hana unafiki. Ila kwa mtazamo wangu CCM ili iweze kubadilika inahitaji watu kama Filikunjombe. Wakiwaziba midomo mtu kama Filikunjombe ndiyo akina Zito na wenzake wanapopata point za bure. Uzalendo wa kweli utoke ndani ya CCM, na...
Back
Top Bottom