Mke ni yule mwenye heshima na anaejua thamani ya mume wake, akamsikiliza na kufuata maagizo yake, kama hizo ndio tabia zake, please MUACHE, kwasababu kama anathamini utu wako basi hawezi kukuzalilisha kwenye familia yake kiasi hicho. Na kwa mujibu wa maelezo yako hata familia yake haikuthamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.