Recent content by tutoke

  1. T

    JamiiForums Tanzania OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

    Arusha tunalala sasa wasikukatishe tamaa umedhibiti ujambazi na uporaji mchana kweupe sasa mji n shwari asiseme mtu kitu . Hongera Mafwele tunakutegemea kuwa rco Arusha
  2. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Maisha ni sentensi ndefu na kifo ni nukta ambayo lazima iweko kwenye kila sentensi na sentensi inaendelea kuandikwa nyingine...zingatia anaeandika ni mungu na kuweka nukta ni yeye
  3. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Ila jamani tuko kwenye hii tread tunabadlishana mawazo lakini tuko gizani hadi leo hatujui ya morogoro hadi leo kuna mawli .au polisi wamemaliza uchunguzi kwa maana ya kuwauwa wote au ulikuwa mchezo wa kuigiza kama kawaida yao si kweli. Tafadhali tufahamishane
  4. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Naomba kama kuna update ya huko morogoro maana kunya sasa au ndio polisi wamemaliza upelelezi kwa kuwauwa na kukaa kimya kama kawaida yao tanzania
  5. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    NI jambo la kushangaza kusangaza sana .bali tanzania unaweza kumiliki Apache mradi ujue kuhonga honga tu .watu wanazo mpaka scud yawezekana tu .hapa ni honga pita nayo..mfano si chini ya wasomali 100 au zaidi kwa mwezi wanaingia tanzania kwa magendo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Tusubiri watukate miguu na mabomu..maana watanzania kwa kuiga hawajambo .wamesikia alshabaab .boko haram .nk hawajui wote hawa wana interest zao.wengine wanashika bendera na kukaa mapangoni wanadhani watapata ufadhili ..ila hii dini ya suruali fupi imulikwe .wasijerudia walichofanya arusha...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 9 wakamatwa Msikitini wakiwa na vifaa vya mlipuko

    Mimi nadhani kama serikali itaendekea kukaa kimya kwa kufata katiba kuwa kila mtu anayo haki ya kuabudu dini yoyote.hapa twafa sasa maana hawa jamaa wa suruali fupi ambao na msikitini wanajifunza karate ni nini maanake.watu hao ndio ealikuwa wanalipua arusha.watu hao hao wana miela benki kibao...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Sio manga ni felix mmasy chagga huyo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Atotoka ila itamsumbua roho ya mtu .pamoja ni bahati mbaya sana ila amepata doa .mungu amsaide
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Kweli kabisa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Rekebisha hapo sio mtoto ni mtu wa miaka 30/35 risasi ya kichwa.tujiulize kuna ungomvi na ninani alivuta trigger.unajua ukishika silaha unatakiwa ujue tayari una kitu hatari na uwe makini .hivyo tuseme ni uzembe .ni kosa .familia imempoteza mpendwa wao nini kifate ni fundisho kwa wenye silaha...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Na hiyo in mdhamana masikini ni masikini tu hatapewa haki marehemu..ni sheria ipi inayosema mtu akisherekea apige risasi juu .au ni baruti za mwaka mpya .hizi zenyewe kibali cha polisi ni muhimu.na je anazo risasi ngapi.maelezo ya risasi angesema je .ametumia wapi na sababu ipi aende kwanza...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Hizi pesa ndio zilimfanya yuda akamsaliti yesu ni kipindi hichi hichi cha pasaka hebu tuone Rpc na Rco wa arusha watavyopokea mlungula .na huyu Matias manga anatarajia kuja kugombea jimbo la arusha.hiyo ni kashfa tosha .na yeye ni team lowassa .tuwafuatilie kwa makini
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aua kwa bastola Arusha

    Ni class seven drop out .watu wengi huzani kuwa na pesa ni kila kitu kutoa roho ya mtu ni mbaya na laani pia
Back
Top Bottom