Waziri Mwakyembe wakazi wengi kutoka nje ya jiji hili kupitia barabara ya Pugu road tunapata shida ya usafiri balaa.
Tunalipa nauli mara mbili kwa kuzunguka na gari.
Fanya mchakato wa behewa kadhaa ili nasi wa kutoka pugu nk tupande daladala ya mwakyembe kupitia reli ya Kati.
Najua unachapa...
Mkuu wa shule ya Airwing Sekondary ,Neja Tumaini Lupindu, anaenda kinyume kabisa na jitihada za serikali katika kuboresha elimu nchini.
Kimsingi anawanyanyasa watumishi kwa yafuatayo;
1. Miaka 3 mfululizo hajapandisha mishashahara ya wafanyakazi
2. Hatoi mikataba kwa watumishi walio katika ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.