Recent content by turubbo

  1. turubbo

    Usingizi nakosa kwa ajili yake

    wakuu Salam✋ nimetokea sana kumpenda money penny.nimekuwa nikifatilia nyuzi zake sana nimemjengea picha kichwani nimdada mmoja wamoto sana na mremboo hasa kuliko mwanamke yeyote duniani. natamani sikumoja niwe nae kiwanja tule bataa Hadi afurahi mwenyewe. I love you so much money penny...
  2. turubbo

    Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

    Yaani jinsi maisha yalivyo magumu kwangu nawaza maishani mwangu nisije kupata mtoto akaja duniani kuja kula msoto kama Mimi. Maana Mimi mwenyewe niña wazazi lakini siwezi kuwasaidia msaada wowote wanahangaika nauzee wao mtoto wao sieleweki. Bora niwe wa mwisho kuteseka ila damu yangu nisiilete...
Back
Top Bottom