Kila akinipigia simu au tukiwa wote ana niita ndugu yangu!yaani majina yote mazuri ya kimahaba hakuona zaidi ya kuniita ndg yangu!!nikawa namwambia niite basi mama fulani kama hutaki kuniita jina langu!!kakazana tuu kuniita ndugu yangu....sitaki hata kumsikia msukuma yule!!
Pole my dear...haya unayo pitia nami nilisha yapitia na nikupe ushauri tuu kua machaguzi yako ni mawili kubaki kwenye ndoa uvumilie usaliti au uondoke ukaanze maisha mengine .....sisi leo tutakuambia uvumilie na likikukuta jambo mf maradhi au mauti pia tutakusema kwa nini hukuondoka...hivyo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.