HAYA NI MATUSI YASIYO NA MSINGI,MI SIKULAUMU KWANI HII INAONESHA PICHA HALISI YA FAMILIA UNAYOTOKA,NA NI WAZI WEWE NI MIONGONI MWA LILE JOKA LA KIJANI LINALOMEZA HATA TEMBO WA TAIFA HILI.......MI SIAMINI MTU MWENYE UWEZO MZURI WA KUFIKIRI ANAWEZA KUTOA COMMENT KAMA HII........NI BUSARA KUNYAMAZA...
Kwa kweli mmekuwa ni chachu ya mabadiliko yaliyo ya kweli katika nchi hii. Hakuna anaeweza kubeza na kusahau juhudi kubwa zinazofanywa na kambi hii kufichua uovu na madudu yanayofanywa na serikali ambayo imekuwa ikijiita serikali sikivu na wakati wananchi tunaelewa ni kwa jinsi gani serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.