Recent content by tupeni

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Kumb mda wote nilikuw nakosea aya mkuu pm natuma namba inasach mwisho inakataa nataka iwe private namba ake
  2. T

    JamiiForums Tanzania Swali: Makamu wa rais akijiuzulu rais anatakiwa afanye nini?

    Ivi makamu wa raisi akijiuzulu raisi anatakiwa afanye nn?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Aya namba nakutumia pm yake
  4. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Nitashukurj mkuu amepangiwa tarehe 7 jumatatu sa2 halmashaut ya wilaya ya mbozi anatokea dar akitoka jumamosi tareh 5 itakuwa rahisi.namba take ntakutumia pm mkuu usaili unamalizika tarehe9 kuna wa maandishi na mahojiano pakufikia ilikuwa mtihan Ila nauli tumejitahidi mkuu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Kila MTU anasema hali ngumu nimepata nauli kwa ivo nimeona kama afadgal
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Aya kama kuna mwingjne tumsaidie atomize ndoto zake ndugu zangu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Ni mdada anajielewa wanafanyia maeneo ya halmashaur ya mbozi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Nmesahau bgest sio siku1 kama 4 usaili mi2
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Iko ivi kuitwa interview ni wakat wowot na imekuj siku6 bada ya mwsho wa maomb tulivtegemea second anatokea dar nail 80 na kurud bad hajala na sisi ni low life kama unawez kutusaidia
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi ya siku 3 kwa mtu anayeishi Mbeya Mbozi au maeneo ya karibu

    Habari zenu..kama kuna MTU anakaa mbeya na anaweza kumsaidia ndug yang kwan mda wa siku3 alale kwake pindi atapokua uko.ndugu yangu ni MTU wa dini na ana nauli tu anakuja huko kwaajili ya interview ya kazi jumatatu kwan vile ni ghafla hatukujipanga .tunaomba msaada wenu wakazi wambeya kwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayejua kupasi nguo kwa ajili ya biashara

    Mimi naweza
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mdada anahitaji kazi za ndani

    Kuna mdada anataka kazi za ndan ya kwenda na kurudi ni mwaminif ana umri wa miaka 24 yupo Tayar kwa kaz wakat wowote aliyetayar tuwasiliane 0682942959 hata pm pia. Asanteni
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi 88 za kazi (Cabin Crews) kutoka Air Tanzania

    Najua ila nataka mana zaid kwa weny experience ulosem dash does not help
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi 88 za kazi (Cabin Crews) kutoka Air Tanzania

    Cabin crews ndo mini kwa kiswahili niombe fasta mimi
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nakala za vyeti kutambuliwa na mahakama au wakili ndo inakuwaje

    Asante souljah
Back
Top Bottom