Recent content by Tunutu maharajy

  1. T

    Upinzani ulikuwa ni lazima ushindwe tu kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu (2020)

    Sio kweli wanajiamini na ndo maana wameshinda uchaguzi
  2. T

    Wanawake kwanini mnakuwa na dharau kwenye mahusiano mkishajua Mwanaume hana pesa?

    Ngoja niseme kidogo hata ukiwa na hela usionyeshe kwa mwanamke Mana niwango kweli muigizie na wewe ili upate mkweli
  3. T

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Fikra zako bado ziko gizani hebu badilika unaonekane nimwelewa ila umelishwa matango pori hakuna mtu anaye mtetea mtu ila wewe ndo unashangilia nchi yako iamuliwe mambo na mabeberu na kuwaunga mkono
  4. T

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Sasa una uthibitisho kwamba wameuwawa na umefanya uchunguzi au unaongea vitu ambavyo sio kweli acha kuendeswa na kukosa msimamo
  5. T

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Nchi yetu haina kiongozi wa aina hiyo bali wewe utakuwa umepandikizwa tu na kupewa maneno ya maigizo ambayo hayajengi, badilika ndugu usiwe kibaraka kama wengine
  6. T

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Watanzania tunajivunia kuwa na magufuli wanao leta chokochoko hao watashindwa na kulaanika Mana hawana nia njema na taifa la Tanzania jamani jamani jamani tusikubali kugawanywa na kurudi nyuma kaendeleo bali sote kwa pamoja tusonge mbele bila kuogopa
  7. T

    Ipo haja kubwa kubambana na uonevu wa vyombo vya dola kwa njia mbadala

    Hivi kwa nini Watanzania tunawaza upotofu Nchi yetu ina Rais msikivu kwa nini mnalalamika pembeni afu kama kweli unaonewa nenda na ushahidi wako kaseme kwa wenye dhamani tusiwe wanafiki wakulalamika tubadilike sasa ni wakati wa kazi
  8. T

    Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

    Maneno yenu hayana busara ndo maana mnaongea pumba semeni basi ukweli acheni propaganda za kijinga
  9. T

    Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

    Nyie ni watu ambao hamna uzalendo na nnchi yenu Mana ni wasaliti wawazi tatizo la viongozi wetu liko wapi ila sishangai Sana hata Wana izraeli walikufuru neema walizo pewa na molah sasa hatutaki watu wachache watuharibie na kupinga maendeleo ya watanzania
  10. T

    Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

    Nakataa kwa kusema kwamba hizi habari hazina ukweli wowote ni za kutunga tunga kwakua baadhi ya wapinzani wamekosa nafasi ndo Mana yanajitokeza mambo kama haya tujiulize ingikuwa hakuna democracy wangeweza kufanya kampeni miezi miwili hadi kumaliza salama. Je, ingekuwa hakuna democracy na...
  11. T

    Mkwamo wa Bunge kikanuni bila kambi Rasmi ya Upinzani

    Sipika sio mbumbumbu na wabunge jielewe hebu badilika
  12. T

    Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

    Mi nadhani ifike sehemu tusilalamike kwa bila sababu Za msingi mtu Kama huna ushahidi usiseme kitu
  13. T

    Mkwamo wa Bunge kikanuni bila kambi Rasmi ya Upinzani

    Wewe una uhakika gani kama kura ziliibwa na kama ziliibwa ulimkamata nani
  14. T

    Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

    Sio tunawalazimisha bali ni kwamba tunawatoa kwenye fikra potofu
  15. T

    Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

    Wanapaswa kuunga juhudi za maendeleo waache fikra potofu.
Back
Top Bottom