Recent content by tumlack

  1. tumlack

    Nina wazo la biashara ya kuflash simu, ninahitaji nini kufanikisha lengo langu?

    Kwanza kua mpole mkuu Pili, swala la kuflash simu sio issue sana kikubwa ni kuwa makini na kuelewa unachokifanya Kwasasa itabid uanze tu kujua chipset mbali mbali kisha ujue ni tools gan zinatumika kweny hizo chipset Ila kwa kuanzia unaweza anza na sp flash tool kwa mtk devices. Unahitaji...
  2. tumlack

    Msaada wa 4G bands

    Jamaa ni wahuni kiasi hicho Poa mkuu nitachek speedtest
  3. tumlack

    Msaada wa 4G bands

    Pamoja mkuu,pia kuna possibility ya simu kutokua labda na band 800 lakin ikapga kaz 4g ya tigo? Kuna mtu ana G2 ya Tmobile haina frequency za tigo ila 4G inapga kaz
  4. tumlack

    Msaada wa 4G bands

    Ndio lakini si inabid ujue sasa property hii ni ya voda au tigo au ttcl,bila kujua band za mtandao husika utapotea
  5. tumlack

    Msaada wa 4G bands

    Shida sio device,shida ni kutaka kujua bands,bila band utajuaje sasa simu ni compatible?
  6. tumlack

    Msaada wa 4G bands

    Naomba kujua band za 4G za mitandao hii apa hapa kwetu. 1.Vodacom 2.Tigo 3.Ttcl 4.Smile 5.Smart
  7. tumlack

    Msaada wa kujua umuhimu wa lens hizi za simu

    Wakuu... Nimekutana na jamaa online wanauza lens flani hivi ambazo unaweza funga kweny simu yako, kwa hapa bongo nmeona hadi sh 20,000 kama gharama. Sasa naomba kujuzwa je kuna optimization yoyote ambayo inatokea kama nitafunga hiyo lens kweny simu yangu?
  8. tumlack

    Msaada: LG G2 D802 Boot loop

    adb ilikua on mkuu ngoha nijaribu basi kutumia comand kuhusu rom sia uhakika sana,,kama nilipatia labda nimeksea region tu na sidhan kama itakua ndo sababu
  9. tumlack

    Msaada: LG G2 D802 Boot loop

    poa poa kaka acha nikomae tu
  10. tumlack

    Msaada: LG G2 D802 Boot loop

    thanks ila drivers ndo zenyewe,ukiwasha simu ikiwa kwenye logo ya lg basi simu kwenye pc inaonekana. ila shida tu ukisha taka kuiweka kweny download mode ndio simu haitaki kuonekana..nahisi download mode nayo imeathiriwa.
  11. tumlack

    Msaada: LG G2 D802 Boot loop

    ilikua in root acces hivyo sikuweza ku update though OTA ndio maana ilinilazimu ku update manually
  12. tumlack

    Msaada: LG G2 D802 Boot loop

    Wakuu mambo vipi? Juzi juzi nilikua nafanya update ya lg g2 ktoka kitkat kwenda android lolipop, nilifanya manualy kwa kutumia lg flash tool nikaflash kdz ya lolipop, ila baada ya flashing kumalza simu inaishia kwenye logo ya lg tu. Nimejarbu kwenda kwenye download mode ila shida inakua haiwi...
  13. tumlack

    Msaada: Pointer inajisogeza bila kuguswa

    Hilo nalo neno mkuu ngoja nichunguze Hii adapter
  14. tumlack

    Msaada: Pointer inajisogeza bila kuguswa

    Hp naona nyingi tu hasa latest PC ndo znashida kama Hii..kuna envy nlikutana nayo inatatzo hlohilo
Back
Top Bottom