Recent content by Tumbili wa Mjini

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

    No seal no deal!! Nikatoe malahli kwa kitu used??
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Hamna dawa ya kuamsha glands zinazotengeneza testerone? Maana kiwango changu ni 0.69 wakati wastan ni 19.00 ?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Sijapata suluhu kwa wadau zaidi ya kejeli
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Nina miaka 24, kazi yangu ni ofisini, sijawahi kua na mtoto Wala kumpa demu mimba
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Bro Kuna mwanamke nilimpenda sana ila kutokana na ugonjwa wangu kaniacha kiukweli Nina tatizo kubwa bro
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Bro mpaka naandika Uzi humu ujue tatizo langu ni kubwa sanaa Yani nimechanganyikiwa sielewi mpaka Kuna kipindi nilitaka kujitoa uhai, Kuna jamaa yangu anajua tatizo uwa ananionea huruma sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Bro demu amenitukana sana
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Nimekuja humu naamini nitapata ushauri na tiba
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Bro hamna dawa za kunywa na kutibu tatizo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Mbaga Jr Mad Max
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Msaada wenu wakuu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

    Habari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita. Nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hi

    Hiii
Back
Top Bottom