Recent content by TUMA TANZANIA 1

  1. TUMA TANZANIA 1

    Askari wa barabarani kagueni gari, kumbukeni hata mshahara mnaolipwa unatoka kwa hao hao wananchi

    Mbona madereva wengi wanajua wakiona traffic wanaanza kuandaa posh no discussion akifika tu anatupa chini ama anaweka kwenye kadi kisha anampa hata gari hasongelei utasikia anaambiwa tairi hii ubadilishe konda 😂😂😂😂 haya
  2. TUMA TANZANIA 1

    Askari wa barabarani kagueni gari, kumbukeni hata mshahara mnaolipwa unatoka kwa hao hao wananchi

    Habari za wakati huu wakuu wangu, mimi nina kero yangu kuhusu hawa Askari wa usalama barabarani traffic kuchukua rushwa (kifurushi) badala ya kukagua gari. Kwahiyo madereva wanashughulika na kuwa na hela ya kulipia kifurushi badala ya kutengeneza gari gari bovu.
  3. TUMA TANZANIA 1

    SoC04 Mfumo wa Elimu utengeneze viongozi na wafanyakazi sahihi

    Wakuu nakosa namna ya kuwapa heshima ila binafsi nashukuru sana kwa support yenu na upendo wenu kwangu kwa kunipigia kura na kusupport mawazo yangu Mungu awabariki na kila mmoja amjalie hitaji la moyo wake
  4. TUMA TANZANIA 1

    SoC04 Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    Hello tukiwa na changamoto tunapata shida kuwasiliana na nyinyi kila ukiandika ujumbe kwa email inagoma kutumwa
  5. TUMA TANZANIA 1

    Ndugu zangu, sisi sote baba yetu mmoja

    Habari kiongozi unasoma post hii naandika nikiwa na maumivu makali mno ya moyo maana najiuliza baba yetu alikosea kutuachia Mali? maana tunawaua watoto wetu, wadogo zetu na ndugu zetu kisa tunataka Mali waliyonayo hii ni sawa ama ni haki? Mwaka mmoja sasa tangu nimekuwa na rafiki toka kongo...
  6. TUMA TANZANIA 1

    Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Morogoro safi mpaka sasa hakuna changamoto yoyote hasa wilaya ya kilosa
  7. TUMA TANZANIA 1

    SoC04 Mfumo wa Elimu utengeneze viongozi na wafanyakazi sahihi

    Kaka unajua rushwa inagarimu maisha ya watu wengi sana hali ni mbaya kaka Kuna sehemu jambo lako linaweza kukwama kama hauko tayari kujiongeza
  8. TUMA TANZANIA 1

    SoC04 Mfumo wa Elimu utengeneze viongozi na wafanyakazi sahihi

    Umeongea vyema mkuu wangu kikubwa ni kuwa mfanya kazi anapokuwa amewajibika ipasavyo nae anufaike ila elimu ndio yenye kutusongeza mbele maana mikataba mingi ya nchi inasainiwa na wasomi waliopewa maamlaka na serikali wasipokuwa na elimu sahihi ndio mnakutana na mikataba mimbovu Tanzania...
  9. TUMA TANZANIA 1

    SoC04 Mfumo wa Elimu utengeneze viongozi na wafanyakazi sahihi

    Tanzania itakuwa yenye maendeleo endapo itakuwa na viongozi na wafanya kazi wazalendo, wasiopenda rushwa, na ambao sio wabinafsi. Kwa sasa tunapitia changamoto mbalimbali katika kustawi kwa taifa letu kutokana na viongozi na wafanya kazi kukosa sifa nilizozitaja hapo juu lakini chimbuko la...
Back
Top Bottom