Recent content by Tuma ommy

  1. Tuma ommy

    Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023

    Peniela by Patric C.K For you by Elton Tonny Nilimdhania kahaba kumbe bikra by Singano J.R
  2. Tuma ommy

    Hatimaye nipo huru

    Mkuu kwanza hongera kwa simuliz nzur yenye uhalisia na maisha tunayoishi na ahsant kwa kutuelimisha na kwa wakat huo huo kutuburudisha. Mafundisho ya dini yanatuelekeza tukiwa tunafanya tendo la ndoa tusisahau kuomba dua (kutaka ulinzi kwa allah) kutokan na shetani alie laa'niwa. Kwa sababu...
  3. Tuma ommy

    Hatimaye nipo huru

    MKOKOTONI na sio mpeketoni
  4. Tuma ommy

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    kitu kinazid kuchanja mbuga ichoooo moto wa kuotea mbal
  5. Tuma ommy

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    mzee baba singanojr tupe muendelezo tumuone roma anavyokuja juu kwa speed ya mwendo kas
  6. Tuma ommy

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    hata mimi naamin roma anarudi hasa ukifuatilia stor ya mungolia
  7. Tuma ommy

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    kwa hapa ulipotuacha leo dah ww ni mwamba lazim arosto zitusumbue
  8. Tuma ommy

    Simulizi: For You

    hongera mkuu. binafsi napendezwa na kaz zako zinagusa hisia kila kona ktk mapambano lazima wat muhim wapotee kupitia hii stor nilikua nashindwa kugess nan angepotea kwa upande wng stor ipo poa
  9. Tuma ommy

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    watu tuko arosto. ujue ratib et ni alhamis kutokan na kutingwa akasem atatufanyia leo asubh ila pia imeshindikana nna iman kuna jamb linamtatiz allah akufanyie wepes kesho utuwekee mzigo wa maan kufidia
  10. Tuma ommy

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    kuhus nadia nakumbuk aliwah kupokea sim akifokewa kua kapew kz aifanye kuhus roma ila bado hajaikamilisha na boss wake alikasirik sana, nadhan bos mwenyew alikua ni apollo fek
  11. Tuma ommy

    Simulizi: For You

    walimdharau kwa sabab ya jinsia
  12. Tuma ommy

    SIMULIZI: Eliza na Ndoa Yangu (Kisa cha kweli cha kusisimua)

    mkuu tupo ila hatuon mwendelezo nini shida
  13. Tuma ommy

    Simulizi: For You

    shukea mkuu tunasubir kifuatacho. vp isiminzile ataweza kurejesha cha awali. nataman awezee aisee niwaone waliomdharau lexi akina kelvin na luten michael Sent from my M2006C3MII using JamiiForums mobile app
  14. Tuma ommy

    Simulizi: For You

    yaan hii kt nmeipa kipaumbele ila nikiingia siikut unatutesa ujue tuonee hurum wenzio Sent from my M2006C3MII using JamiiForums mobile app
  15. Tuma ommy

    Simulizi: For You

    jaman hii kt bado Sent from my M2006C3MII using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom