Recent content by tulyfrance

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa?

    Naomba kujua nimeaply serkal health clinical medicine ,ambavyo sina math, Nina c-bios,phy d,chem d,engl c,history c, je? Naweza kuchaguliwa???
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Basic certificate of IT
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Habari wakubwaa mwenye kujua vizuri chuo cha MUSOMA UTALII COLLEGE _TAbora
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Habarin za uzma wana jf, nina mdogo wangu wamemchagua kozi ya ICT ,ila hajapenda kuisoma anataka akasome medicine upande wa afya. anaweza je? Kubadili faculty ya sayansi na technology kwenda faculty ya afya? .na lipi bora kuahilisha mwaka au kuisoma hiyo kozi akiimaliza ndo akaombe tena!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ndio bro
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ndo nn xaxa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Nimechaguliwa certificate of clinical medicine lakn kaagzwa nipeleke vfaa hv ,clinical thermometer,stethoscope,glucometr,na Bp machine manual, include vtabu vya physiology na anatomy, naomba kujua kwa anae soma hii koz nilazma aende navyo?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaad wa bei ya kitabu cha Anatomy

    Asante
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaad wa bei ya kitabu cha Anatomy

    Chuoni nimeagzw niende navyo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaad wa bei ya kitabu cha Anatomy

    Ndio mkuu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaad wa bei ya kitabu cha Anatomy

    Habarin wana jf, naomba mwenye kujua bei ya kitabu cha Anatomy (rose&wilson) physiology ,Madukan
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bei ya vifaa hivi vya afya

    Habarin wana jf,naomba mwenye kujua bei ya vifaa hivi, clinical thermometer,stethoscope,glucometer,Bp machine(manual)
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bachelor of information technology 'IT'

    Habarin wana jf, mwenye kujua kozi ya ICT ikoje? Kwa upande wa soko la ajira na kujiajili? Nitashukuru
  14. T

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuhama chuo na Kubadili Kozi?

    Habarin wana Jf, Nimesikia eti mtu huwezi kutransfer chuo kwenda kingne kwa faculty tofauti. Mfano; Kutoka musoma utalii college koz ICT kwenda chato health science and technology. Na kwamba unaweza kutransfer chuo lakn kwa koz ile ile ndo inawezekana , hivi ni kweli? Msaada tafadhali
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msaada

    Habarin za uzma wana jf, naomba kuuliza naweza kutransfer kutoka musoma utalii koz ICT kwenda afya kusoma certificate of clinical medicine?
Back
Top Bottom