Recent content by tulimumo

  1. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UKAWA wa Jimbo la Kibosho WADODA

    Mkuu mbona hiyo picha imepigwa kwa kuwaficha watu makusudi?
  2. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Serikali ya ccm itamkataa lakini wanachi watamkubali na ndivyo atakavyo apishwa na kuwa raisi wa jmt
  3. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Yesu alikuwa mkombozi wa walimwengu sasa tunasema lowasa ametumwa na mungu kama yesu ili awaikoe watanzania
  4. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Kwo kumbe umeamini kwamba lowasando mkombozi wa watanzania sababu kwa mfano huo basi ndo maana yake na hata baada ya kuambiwa asulubiwe pilato aliwaambia mtu huyu hana hatia, lowasa mkombozi wa watanzania.
  5. tulimumo

    JamiiForums Tanzania ITV Kurudia Mkutano wa Lowassa Mwanza Leo Saa 10:15 Usiku

    Huku amna umeme ivi radio one ni masafa gani inapatikana?
  6. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Wanawake Geita watoa machozi kwa Mama Samia

    Ivi watu kulia hadi machozi ni kwamba wamemfurahia? ama wanauchungu na serikali ya ccm jinsi ilivo wasahau hebu kuweni na utambuzi siyo mnashangilia tu kwamba wamemlilia. Hao ni wana uchungu wa mateso ya miaka na miaka.
  7. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Wwe utakuwa ulijifungia chooni
  8. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Hahahahahahaha ni mabadiliko tuu hakuna namna
  9. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Mama Lowassa ndani ya Ifakara, Morogoro

    Yaaaaaaaaaassssssss
  10. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Cjui umeandika kitu gani wewe mwanafisiemu
  11. tulimumo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka uwanja wa Mpilipili: Mkutano wa Dr. Magufuli jimbo la Lindi - Oktoba 12, 2015

    Duu kachanganya madawa, yaani apr hadi june afu karudi tena may.
Back
Top Bottom