Recent content by TULIMAJE

  1. TULIMAJE

    Kuhusu kanzidata (database) ya Sekretarieti ya Ajira

    Watoe majibu ndiyomaana ya intervie, sasa tutajuaje, kuna watu wanatika mikoa mbalimbali halafu unafanya interview hawakupi jibu
  2. TULIMAJE

    House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Wewe ni msomapost ndugu yangu kwani mnunuaji najua njia anazotumia kujibu kama anashida kwani wapo walionitafuta wamepewa maelekezo.
  3. TULIMAJE

    House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Kuna wanunuaji serious na wa soma post za watu na kupita
  4. TULIMAJE

    House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri. Ina uwanja mbele na nyuma Mita za mraba 1500 Inauzwa mil 90 maongezi yapo Karibuni simu 0768412181 Mbezi Kimara
  5. TULIMAJE

    Inatia hasira unakuja TRA kuomba TIN unaambiwa fomu zimeisha printa mbovu ukizingatia unyeti wa shirika hili

    Inakuweje shirika lililopewa dhamana kubwa namna hii kukusanya kodi za wananchi kwa maendeleo ya nchi inaharibika Printer moja kazi zinasimama? Na why shirika kubwa namna hii muwe na Printer moja. For sure hamfai kwenda na kasi ya Mh Rais, hamjui kufanya hivyo kuna watu wanakata tamaa kulipa...
  6. TULIMAJE

    Chanika: Vibaka wazidi kuwaliza wafanyabiashara wa kwa Bwaja mtaa wa Lubakaya

    atika hali isiyo ya kawaida watu wasiojulikana wameendelea kufanya uhalifu kwa kuvunja makufuli pamoja na kutoboa gypsum na kuingia ndani kuiba Mali za wafanyabiashara waliopo eneo la kwa bwaja mtaa wa Lubakaya -Chanika jijini Dar es salaam. Watu hao ambao hawajulikani mpaka Jana wametekeleza...
  7. TULIMAJE

    Chanika: Vibaka wazidi kuwaliza wafanyabiashara wa kwa Bwaja mtaa wa Lubakaya

    Katika hali isiyo ya kawaida watu wasiojulikana wameendelea kufanya uhalifu kwa kuvunja makufuli pamoja na kutoboa gypsum na kuingia ndani kuiba Mali za wafanyabiashara waliopo eneo la kwa bwaja mtaa wa Lubakaya -Chanika jijini Dar es Salaam. Watu hao ambao hawajulikani mpaka Jana wametekeleza...
  8. TULIMAJE

    NSSF wanasumbua sana, Rais Magufuli ingilia kati

    Kuna mtu kanitonya kuwa kuna uwezekano huwa badala ya kutuma kwenye akaunti ya mhusika wanajitumia wenyewe wanazunhushia biashara zao.Maana nimeprint statement inaonesha nilishalipwa tangu July 4 na Leo nimeenda kuulizia Nssf kuwa inakuwaje statement ioneshe nimelipwa wakati sijalipwa ? Kuna...
  9. TULIMAJE

    NSSF wanasumbua sana, Rais Magufuli ingilia kati

    Jamani NSSF nimefuatilia mafao yangu nimeishia tuu ahadi kula kukicha.Kuna mtu kanishitua kuwa print statement. Nilipoprint,statement ilionesha nimelipwa wakati Mimi sijaiona pesa kwenye akaunti wala cash.Sasa waliomlipa ni nani? Mwenyewe dhamana afutilie jamani
  10. TULIMAJE

    Jamani tusaidieni tuende wapi tupate msaada aliyekuwa mwaajiri wetu hataki kutusainia form za nssf kuchukua mafao

    Sasa. Mkuu mafao ya nssf na kesi ya kuachishwa kazi inahusiana kweri
  11. TULIMAJE

    Nyumba inauzwa MIL. 36 imekamilika idara zote mpaka miundombinu ya maji ndani.Tazama picha

    Ndiyo hati zipo ni mgogoro wa ndoa umepelekea kuuzwa nyumba
  12. TULIMAJE

    Jamani tusaidieni tuende wapi tupate msaada aliyekuwa mwaajiri wetu hataki kutusainia form za nssf kuchukua mafao

    Tunakuja mara nyingi sana,siku moja tukaamua kuziacha ili wasaini kwa muda wao.Lakini baada ya mwezi mmoja tulirudi....na kupata jibu kuwa hr wao aitwaye Amir amair amekata kupokea form zetu. Jaman serikali, mwenye dhamana naomba aingilie kati kwani Quality Group inatutesa saana,hali ikijuwa...
  13. TULIMAJE

    Jamani tusaidieni tuende wapi tupate msaada aliyekuwa mwaajiri wetu hataki kutusainia form za nssf kuchukua mafao

    Tunakuja mara nyingi sana,siku moja tukaamua kuziacha ili wasaini kwa mda wao.Lakini baada ya mwezi mmoja tulirudi....na kupata jibu kuwa hr wao aitwaye Amir amair amekata kupokea form zetu. Jaman serikali, mwenye dhamana naomba aingilie kati kwani Quality Group inatutesa saana,hali ikijuwa nssf...
  14. TULIMAJE

    Nyumba inauzwa MIL. 36 imekamilika idara zote mpaka miundombinu ya maji ndani.Tazama picha

    Nyumba ina wiring, gypsum kisasa,Aluminium windows, tiles, vyoo viwili ndani vyumba vya kulala 3,kitchen,sitting room, Ina miundombinu ya maji ndani,ina kisima cha maji baridi ya kunywa,Ina chumba cha nje ambacho ni stand ya tank la maji pia, ina kiwanja cha ziada mita 18 kwa 16,bati msauzi na...
Back
Top Bottom