Recent content by Tukuswa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Yote haya yanatokea sababu ya sisi wananchi akili zetu zimeshikwa na watu wachache wenye ulafi wa madaraka na wenye kujali maslahi yao binafsi. 1. Fasta zinaenea habari kakutwa na mabilioni maskani 2. Fasta anatolewa 3. Fasta bandari tuliyoambiwa haifai kujengwa inaanza kupigiwa chapuo ijengwe
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anashambuliwa kila kona. Siyo kesi, ila mambo yaende; yasipoenda wananchi watawazomea kila kona

    Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
  3. T

  4. T

    JamiiForums Tanzania Nauona mwisho wa CCM

    Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
  5. T

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mtoa mada ni wale wanaodhani nyama pia inachumwa kutoka kwenye miti utadhani matunda.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Hayati Magufuli alikuwa shujaa wa kizamani

    Mungu mkubwa, kweli Msigwa wewe umesahau ulivyolipiwa faini na JPM na leo hii unaanza kumdhihaki inshaallah Mungu atatenda.
  7. T

    JamiiForums Tanzania CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

    Pole sana ulitegemea sana teuzi za sasa ili ubahatike , pambana na hali yako
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madai kuhusu Commodity Import Task Force iliyoundwa kukusanya fedha za Serikali ya Japan na vigogo wanaohusishwa ni ya kweli?

    Tumwagie taarifa iliyoshiba ili nasi tujuwe mbivu mbichi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Makonda ameipigia Saluti maiti ya Hayati Magufuli bila sare kama nani?

    Kamuulize Makonda mwenyewe
  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, vunja vunja Wizara hii katika uchapakazi wako Ikulu

    Nimekutag ili nione kama kweli utatekeleza jambo hili ulilotamka
Back
Top Bottom