Inaendelea,,,,
Basi Mzee baba nkazoa zoa vfurush vyangu pale ubungo nkachukua usafir huyoo mpka home,,,nkapokelewa na b mkubwa pale full furaha kijana karud home,,,mana nlkuwa nna muda kidogo cjatmba Dar,,ila me mda huo akili yangu isharuka inamuwaza yule manzi tuuu,,,,ingawa nikajiapiza cwez...