Recent content by Tsr

  1. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Tewe una shida ya akili wewe,you are just sick man,yaani from nowhere unaniita changu?😂😂Kwa sababu zipi?jibu hoja,acha kupaniki,jibu hoja yangu.,usijimwambafy while huwezi jibu nilichohoji!mtu unayetumia neno'mabaharia' unajiita mwanaume???😂😂😂
  2. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Nimekuheshimu sana kureply comment yako. Jibu hoja,usitokwe maneno,eti wewe changu tuu,really?yote niliyoyaandika hujaona?umeona cha msingi ni kutukana😀😀,pole
  3. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Akirudisha mahari je??mkuu wake ndio nani?mume?😂😂kiafrica africa wanawake kuwa abused hakutaisha leo aki vile. Mimi unichomee nguo zangu kisa huzipendi?childish ,hatakama umenunua wewe, eti unachoma nguo,kujiona miungu watu, mfumo dume tuu Na,Nyie mnafanya nini kutuimpress sisi wanawake?ama ni...
  4. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Ni kawaida ya waafrica kufocus na yasiokuwa ya msingi, wanaume wanajikuta miungu😀😀Yani ufukuze mke kisa kakataa kuvaa mabwanga?na sio kakusaliti,sio kaacha kukuheshimu,yaani nguo tuu?kweli kazi ipo. Mnampoteza mwenzenu
  5. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Solely,anajifurahisha na kujiridhisha wenyewe, kwanini mnafikiri kuwa kila tunachofanya ni kuwaridhisha nyie? Kimsingi,mtu ukivaa kitu fulani,wa kwanza unayemlenga ni wewe mwenyewe.,sio mume wala mke, ila wanaume wa kiafrica wakeshazoezwa ubwana/ukubwa kuwa mwanamke anavaa nguo kumfurahisha...
  6. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Hapo ndipo unakosea, kwa polisi kuangalia uvaaji ndio wajue wewe ni changudoa ama laa, kuna wanawake ni wachafu kupita maelezo na wanavaa nguo za kufunika,na ndipo polisi watampita mwanamke huyu na kuondoka na aliyevaa nguo za kubana. Ujinga tuu,mimi nguo haidetermine tabia ya mtu
  7. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Kwani dhumuni la kuvaa nguo fulani ni kukuridhisha wewe tuu,wanaume ni wabinafsi sijapata ona, anavaa kujifurahisha yeye kwanza,then wewe. Kwani kumuoa ndio nini??
  8. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Na hawa watu wanaosema unasaidiwa sijui wanamaanisha nini!unaweza kusaidiwa hata akiwa amevaa majuba. Mwanamke kubadili uvaaji si kubadili tabia . Mtu anayeamini hivyo namshangaa. Mbona wewe unaweza kubadili uvaaji na asiwaze kuwa umepata mwanamke anayekusifia?kwanini mwanamke akibadilika basi...
  9. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    As for me,nguo hazijawahi niambia tabia ya mtu, na hiyo heshima ni ipi? Tuanzie hapa,hizo nguo zinamwacha uchi kiasi gani?kuhusu kubanwa,hiyo ni kawaida, tufocus kwenye ufupi wa nguo,
  10. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    All in all wanaume wako very insecure,kwani hamjui kuwa fashion ni pesa siku hizi?,hamjiamini kabisa, kama akivaa hivyo anajisikia vizuri, hilo ndio la msingi, kama anazidisha kipimo ndio uongee naye na siyo umpige marafuku sijui umpe onyo kama mwanao,
  11. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    Kwani ,tangu lini mavazi yalishadetermine Tabia ya mtu,?au kubadilika kimavazi ni kubadilika kitabia?? Mimi mbona ninavyovaa sasa ni tofauti na zamani,while Tabia zangu ni zile zile?lifestyle inabadilika Bhana Halafu,nani aliwapa jukumu wanaume la kutulazimisha Kuvaa namna fulani hatakama...
  12. T

    JamiiForums Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

    100%fact,nguo haziashirii kubadilika kea tabia,pia sio kipimo cha tabia ya mtu. Wanaume ni lini mtaacha kuwapangia wanawake cha kuvaa?kufikiri kuwa kubanwa ni utovu wa nidhani ni imani potofu
  13. T

  14. T

    JamiiForums Nakiri: True Confessions

    August 2019 nilimpata bf aliyeniambukiza genital herpes,,sijaweza kumsamehe. Kila nipatapo outbreak najisikia embarrassed sana., Ningeweza kumshitaki,ningefanya hivyo.,maana alikuwa aware na hayo maambukizi,akaniambukiza kimakusudi,ama alioma ugumu kuniambia.Inauma sana. Nahisi nimeshamwambukiza...
  15. T

    JamiiForums Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

    Uzi bora kabisa! Wanaume wanakuwa insecure Sana,wanaume wanaojiamini wanapungua kwa kasi, Kazi kutoa excuse tuu, ooh wanawake wakorofi, visingizio kibao kumbe uoga wao, Wanaume mnahisi nafasi yenu inapungua katika Jamii. Asante mleta uzi
Back
Top Bottom