Mimi ni mfanyabiashara mdogo nayetumia zaidi WhatsApp Kama njia ya kupata wateja wapya kila siku, ila tangu Hii Sheria mpya iingie inayokataza kuwatumia Txt watu wapya ambao hawajasave namba yako imekuwa changamoto Sana, ukifanya hvyo tu unafungiwa...
Naomba msaada kama Kuna njia naweza kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.