Mkuu nilitegemea ungekuja na ushahidi wa 'video' au 'maandishi' ili kuthibitisha tuhuma ulizozitoa lakini naona bado hoja yako imejikita zaidi kwenye HISIA zako binafsi na si vinginevyo...pole sana kaka...taarifa rasmi itabaki kuwa Sven ameondoka Simba Sc. kwa makubaliano ya pande zote mbili...
Klabu ya soka ya Al-Ahly cairo ya huko nchini Misri katikati ya msimu uliopita wa ligi kuu ya kwao na pamoja na msimu wa klabu bingwa Afrika uliopita walisitisha mkataba na kocha wao Rene Weiler raia wa Switzerland ambaye aliipatia klabu yao mafanikio makubwa....wakasaini kandarasi mpya na kocha...
Matola atakaimu kwa hiki kipindi kifupi cha mpito...na amini mpaka kufika mwezi February uongozi utakuwa ameshamleta kocha mpya na bora kama Sven au kumzidi Sven
Acha UBISHI basi Mkuu...semi-finalist CAFCL kwa msimu wa mwaka jana ni Al-Ahly Cairo,Zamalek,Wydad Casablanca na Raja Casablanca.
Finalist walikuwa Al-Ahly Cairo Vs Zamalek....Al-Ahly Cairo akashinda mechi 2 - 1 akachukua kombe
Upo sahihi sana Mkùu SIMBA kuingia MAKUNDI siyo issue sana....hivi nikumbushe YANGA ni lini mara ya mwisho kufika hatua ya MAKUNDI CAF champion league?
Kwahiyo wamempa nani TV rights za kuonyesha hiyo game live?kwa maana siyo lazima tuiangalie hiyo game kupitia Azam Tv....vipi kuhusu SuperSport ya hapa bongo wanaweza onyesha live hiyo mechi?
Pole mkuu....mimi machale yalinicheza nikaachana nayo....niliona hiyo league bado ni mbichi so kubashiri ni ngumu....isitoshe game ya mwisho H2H kabla ya hiyo niliona Wrexham alipigwa pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.