Recent content by Tsal hmz

  1. T

    Msaada: Ninaweza kujiunga na kidato cha tano shule ya private kwa matokeo haya

    Wakuu naomba msaada wenu, Matokeo yangu ya form four ni Kama ifuatavyo Civics=C Kiswahii=C EDK=C History=D Geography=D Biology=D English=D Chemistry=F Physics=F Maths=F Je? Ninaweza kujiunga na kidato cha tano shule ya private 2020 nahitaji msaada wenu
Back
Top Bottom