Pole Tanzania, Pole Nchi yangu.
Watanzania wazalendo walipa kodi waliobarikiwa ukarimu na utii lakini wamepata baadhi ya viongozi (Wabunge na Mawaziri) hawana uwezo wa kutufikisha kesho iliyo na matumaini.
Tumuombe Mungu kheri na salama lakini hali ni mbaya.
Nafikiri ametuchukulia poa sana Watanzania, anaamini yeye ndiyo kocha pekee na akisema Dejan ni striker basi tukubali, akisema simtaki Mugalu na Akpan basi wote tukubali, hii siyo sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.