Kwa wasiokumbuka,uchaguzi wa bavicha mwaka 2009 ulifutwa baada ya kafulila kuchakachuliwa na kunyimwa ushindi kwa madai alikuwa anaungwa mkono na zitto, hatimaye akaondoka chadema akiitwa sisimizi. siku hizi ameongezeka kidogo anaitwa tumbili. ni wazi sisimizi aliauwa tembo kule kasulu...
MJENGWA ni muongo.alipokuwa akifanya kazi na LUDOVICK kumbukeni alirusha habari za polisi wakati wenziye walikuwa wamezisusa.ni baada ya kukaripiwa na kigogo mmoja wa ccm.akabadili msimamo aliokuwa ameuweka kabla akimsingizia msaidizi wake. na sasa ameona mambo magumu,ameamua kumsingizia...
Nimeshawaambia kuwa tuendako CHADEMA inaweza kuja kuwa chama kibaya kuliko CCM .tunafurahia kashfa zinapoletwa hapa kama haituhusu sisi chadema.lakini sisi tukisemwa tunalalama eti hapa siyo mahala pake,kwa nini?
Lunyungu,
Endelea tu na kujifariji ukidhani kusema tu tunasingiziwa oooh tunabambikwa kesi oooh video za uongo vina nafasi mahamani.huko ni ushahidi wa kisheria na kitaalamu kuwa hizi ni video fake ama lah. mengine ni mabishano ya kisheria kama mtu kurekodiwa akipanga uhalifu kwa nia ya kuzuia...
wewe Kilewo unajuwa vizuri sana kuwa huyu Evodius ndiye alimmwagia Tindikali Tesha wakati tesha anabandua mabango ya Joseph Kashindye wa chadema na kubandika ya kafumu wa ccm usiku kwenye nguzo ya umeme. na unajua kuwa wewe na ludovick mlikuwa mnasimamia operesheni baada ya lwakatare kuumwa...
Dr. Emma hawa watuhumiwa ikibainika walifanya kweli, uko tayari sasa ifahamike kuwa chadema kiliwatuma? yaani kuwa chadema ni chama cha kumwagia watu tindikali na kunywesha sumu watu?
kwa kuwa chadema haikuwatuma kufanya huu ufirauni wawajibike kwa uhuni wao. tatizo ni kuwa nao wanaidanganya...
mnaishi kwa siasa za uongo jorojik na wengine. ni katika mahakama gani hizo rekording zimepelekwa zikakataliwa kuwa feki? si nyie humu mnajifurahisha tu eti ni fake? ile ya lwakatare mnajiliwaza tu eti fake? anaonekana kuongea baada ya kuteswa yule?
au mnataka na hiyo ya evodius tuiweke hapa...
wanachadema wenzangu, nimewaonya mara nyingi kuacha ushabiki kwenye vitu vya msingi. kesi iko mahakamani, nyiye hapa mnasema mwigulu ndo kamwaga tindikali wakati mnajua mwigullu hashtakiwi mahakamani. ujinga huu.
halafu kwani igunga walienda wanachadema wangapi? kwa nini akamatwe huyo...
iPad naona unakomaa tu na shibuda. najua shibuda ni tatizo lakini hayuko peke yake.sasa wewe acha kukariri au kukaririshwa. wabunge wengi tu chadema hawana tofauti na wale wa ccm. kama una lengo la kujifurahisha sawa.
lakini kama unasema ukweli kama wana chadema wanavyokusudiwa kuwa basi...
Sasa jamani kumbe mkianzisha post mjuwe kuwa hata chadema tunao wabunge vilaza wengi tu. iPad ya aple, nimetaja mchanganyiko. yaani hauwajui wabunge wako kiasi cha kudhani ni viti maalumu? kahigi, selasini, na machemli ni wa majimbno mkuu! hata hauwajui?
vile vile akina halima mdee, grace...
AllyBananga, japo wewe ni mlokole wa kisiasa, kuna orodha hapo nimeweka ya Machadema! hao wana tofauti gani na maccm? ni wabunge wako chadema lakini sifuri tu. mkuu ongelea basi na hao tafadhali.
chunguza tena unachosema sweety! hayo mamlaka aliyopewa ndo huwafanya hata wanapoonea watu wanakinga. mfumo wenyewe wa kushughulikia jambo kama hilo ni very beauractratic.
halafu hili tatizo lipo vyuo vyote na walimu wengi wanalo.so ongelea hoja badala ya kuleta vijembe
Radhia Sweety usijibu tu kama unaimba taarabu.jaribu kuelewa hoja kwanza kabla ya kuongea. au wewe umeishia la saba? ni kweli walimu hawa ni wapuuzi sana na wengine hawana uwezo.akitokea mwanafunzi akawa anamchallenge mwalimu anafelishwa. hili ni tatizo halisi kabisa
haya ndo nilikuwa nayasema.watu kama huyu wangonela wa ukweli mnatia aibu na kuaibisha chama chetu. haujui kuwa chadema ina mbunge anaitwa CHRISTINA LISSU?
Na kwa kuwa anafanana na maccm ndo maana hata haumjui. acheni kupayuka kama madebe.mbona hakuna anayechallenge post yangu? nilichosema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.