Recent content by trojan92

  1. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje

    I take everything positive nishareceive negativity nyingi mno na nimezoea
  2. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje

    Kaka nina shukuru sana, Mungu aendelee kukuweka
  3. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje

    Ngoja mimi nicheke
  4. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje

    Sijasema naenda na mtu Angalia nilichoandika kabla ya kujibu
  5. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje

    Wakuu hongereni kwa majukumu Kijana mwenzenu hapa Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje Maana shule inaitwa Paulo Jones Sekondary S chool, naomba mwenyeji wa huko hata aje dm ili nijue pa kuanzia hasa kujua nyumba za kupanga na maisha kwa ujumla Asanteni
  6. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Thank you so much
  7. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Mbona mabint tena
  8. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Thanks so much
  9. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda Town Center, naomba kujua mazingira yakoje!

    Wakuu hongereni na poleni kwa majukumu Kwanza namshukuru Mungu kwa mema yote hadi nimefanikiwa kupata kazi serikalini. Mimi ni mwenyeji wa Mikoa ya Kusini ila kwa sasa nipo Arusha hivyo nitatokea huku kuja Arusha kuja Bunda TC Sasa naomba kujua mazingira yakoje, hali ya hewa,huduma za kijamii...
Back
Top Bottom