Sasa Watanganyika wamekosa nini Hapo?kauli ya mbulumundu mmoja ndio wajumuishwe Na wasio husika???
Round hii jaribuni Tu muone mtiti wake..!
Kariakoo,Msasani,Ilala...mtaona pachungu pale..!
Mkuu,Sio lazima niwe mwanaCCM ndio niseme haya.Ki ukweli watu wanahitaji maendeleo na si porojo za jukwaani!Halima kuonesha kwamba ni CDM,na wana vision ya kubadilisha maisha ya watanzania ilibidi aoneshe hilo Kwa vitendo ila mpaka Sasa hakuna linaloendelea Kwa kweli..
kumbuka wananchi hawajali...
Kamanda hao unaowaita wahuni na wanywa viroba ndio watawang"oa madarakani..
Kwani mbali basi,subiri uone kwamba watu wamechoka na kitaa kishanuka.
#Nguvu ya Umma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.