Recent content by TREVORULINDA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya huduma ya afya GOT-HOMIS na EHMS inatumiwa kwa misingi ya hadhi ya hospitali?

    Habari ndugu, Naomba kufahamu mifumo ya kutolea huduma za afya kwa mfano GOT-HOMIS na EHMS imewekwa kwa kufatana na hadhi ya hospitali? Hospitali nyingi za wilaya zinatumia GOTHOMIS na huu mfumo naambiwa na watumiaji kwamba una mashetani mengi kiasi kwamba unapelekea baadhi ya huduma za afya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimekuja tena nipeni ramani kabla sijaenda lushoto kutembea

    Tuwapate bhc maana tuna miezi kama minne hapa lushoto sijaona watoto
  3. T

    JamiiForums Tanzania Lipeni watumishi kwa wakati au toeni sababu za malipo kuchelewa

    Habari, nazidi kutetea WATUMISHI wanaoajiriwa siku hizi maana wanafurahi kuona pdf nyingi zikishuka ila hawajui yaliyopo ndani, Kuna Halmashauri nyingi mpaka Leo hazijawalipa WATUMISHI hao mishahara yao huku sbb ukiwa hawajaingizwa kwenye payroll Naomba kujua mwenye jukumu la kumuingiza...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Fedha za kujikimu za watumishi wa ajira mpya 2025

    Naweza taja ila list ni kubwa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Fedha za kujikimu za watumishi wa ajira mpya 2025

    Tunaomba wahusika watoke hadharani wawaeleze Hawa vijana walioajiriwa kwenye hizi halmashauri iwapo fedha zao za kujikimu zilitengewa bajeti kabla ya kuajiriwa au inakuaje?? Maana vijana wengi wamekuwa watu wa kukopa bila kujua watapata lini stahiki zao,wanaishi kwenye mwanzo mgumu kiasi...
Back
Top Bottom