Recent content by Treceous

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hotel ya Kipekee Kisiwani Pemba Yaongelewa CNN

    Hiyo kali.I still can't believe.Anyway wenye pesa zao wakalale na samaki ila ni ku-risk life.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Ifike mahali sasa wazee au watu wenye makamo waone watoto kama wa kwao au wajukuu zao.Ingekuwa ni mwanae au mjukuu wake angeji-feel vp? Kukutana kimwili na binti mdogo unaestahili kumwita mwanao inatia aibu.Kwa nini fedha au kuwa na uwezo itufanye tuwanyanyase mabinti?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya polisi na picha 7 za mganga wa kienyeji aliyekamatwa na kiganja cha binadamu kikivuja dam

    Binadamu tumekuwa na imani iliyoshuka kupita kiwango.Huu ni unyama ulio kithiri.Viongozi wa dini hapa wana kazi ya ziada.
Back
Top Bottom