nilisema mapema, kwamba CHASO Morogoro kwa sasa si ya kubeza, mara tu baada ya huyu anayejiita mwenyekiti wa TAHLISO kuboronga na kuitaja CHADEMA kama waasisi wa vurugu,makamanda wa Chaso mkoa wa Morogoro wakiongozwa na Ebenezer kwayu, walitoa tamko la kukataa taarifa hiyo na kuhoji uhalali wa...