Hilo ni jambo la ukweli analosema mzee magu wala sio uongo maana gwajima ni mtu mwema saana na sisi tunalitambua hilo ndo mana tutampa kura zetu zooote
Mkerekwa umepanik Sana inaonekana umevumilia vya kutosha ,sema umefeli ungeseka tangu alivyo wakera umekaa nayo mpka umepata uhakika wa kuwa mbunge ndo una kerekwa ! Mtuachie mbunge wetu tuna muelewa vibaya mnoo atusikii la kuambiwa apa tulipo tuna sikiliza mazuri yake tu ayo mabaya kaa nayo ndo...
Mimi kama mwananchi mpenda maendeleo shauku yangu ni moja tu kuona nainuka kiuchumi, miundombinu inakua vizuri na ustawi wa maisha ki ujumla.
Sichagui kiongozi kwa sababu yuko dini tofauti na yangu, nachagua kiongozi ambaye nitakuwa na uhakika kabisa anaweza kuniletea maendeleo.
Kiukweli...
Taarifa za uhakika na za kweli nilizozipata ni kwamba Halima Mdee alikuwa hajajiandaa na hakuwa tayari kutuwakilisha sisi wananchi wa Kawe kama mbunge wa kuchaguliwa.
Ndio maana kwenye vikao vya ndani vya chama ilibidi Mwenyekiti Mbowe na katibu Mnyika wambembeleze sana na kumuomba afute...
Amenusa ugoro ni mwendo wa kupiga chafya ,,,,,,,,,,,,, ninge kua mm ndo halima ninge andaa makazi mkoani mapema ili ikifika tarehe 28 tu jioni napanda ndege naenda kujificha uko
Ndungu zangu wana jamvi habari za muda huu.
Leo nimepata wasaha wa kupitia Kitabu cha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya jimbo la kawe (2015-2020)
kilichoandikwa na aliyekuwa mbunge wetu Halima James Mdee.
Nimeshtushwa sana na nilichokiona kwenye kitabu hiki, naomba kuwashirikisha kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.