Recent content by TRA Tanzania

  1. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu huduma ya kituo cha wateja

    Mpendwa Mlipakodi, Asante kwa mrejesho wako kuhusu huduma ya kituo cha wateja. Tunasikitika kwa usumbufu uliopata, hasa katika matumizi ya mfumo na module ya remission. Tumeanza kuchukua hatua za kuboresha huduma kwa kuwajengea watumishi uwezo stahiki wa mifumo ili kukuhudumia kwa haraka na...
  2. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Simiyu: TRA yamtembelea mkuu wa mkoa wa Simiyu na kufanya mazungumzo

    Meneja Wa TRA Mkoa wa Simiyu Ndugu Joseph Mtandika Siku ya Ijumaa tarehe 01.08.2025 alimtembelea mkuu mpya wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anamringi Macha Kwa lengo la kujitambulisha na kumkaribisha. Pia Meneja alimkabidhi tuzo ambayo Mkoa umepewa na Kamishna Mkuu Ndg Yusuph Juma Mwenda kwa kuvuka...
  3. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Salamu za shukurani kwa walipakodi kwa mwaka wa fedha 2024-2025

    Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA ) imefanikiwa kuvuka malengo iliyowekewa kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024-2025 kwa kukusanya kiasi cha shilingi Trilioni 32.26 sawa na asilimia 103.9 ukilinganisha na lengo la shilingi Trilioni 31..05 . Kwan niaba ya Bodi ya Wakurugenzi ,Menejimenti na...
  4. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

  5. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Kuhamishwa kwa ofisi ya TRA idara ya walipakodi wakubwa

  6. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ahimiza ulipaji wa kodi kwa hiari

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ,Bw Yusuph Juma Mwenda amewataka watumishi wa Mamlaka hiyo kuendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ya kusimamia ulipaji wa kodi kwa hiari. Ameyasema hayo wakati akifunga kikao cha nne cha...
  7. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA inawakumbusha walipa kodi kuwasilisha ritani na kufanya malipo ya kodi za zuio, PAYE na SDL kwa mwezi Januari 2025

    Mamlaka ya mapato Tanzania inawakumbusha walipa kodi kuwasilisha ritani na kufanya malipo ya kodi ya zuio, PAYE na SDL kwa mwezi Januari 2025 kabla au mnamo Februari 7, 2025.
  8. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam: Huduma zote zilizokuwa zikitolewa ofisi yetu ya Kariakoo sasa zimehamishiwa kwa muda jengo la Diamond Plaza

  9. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania PUBLIC NOTICE: TRA has enhanced its website to align with current technological advancements

    Asante kwa maoni tumetumia lugha mbili kuna ya kiswahili pia tumeweka kichwa cha habari kwa Kiswahili na kuna hii ya Kizungu kwa wale ambao hawafahamu Kiswahili https://www.jamiiforums.com/threads/dar-es-salaam-taarifa-kwa-umma.2298150/
  10. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: TRA imeboresha tovuti yake ili kuendana na hali ya teknolojia ya sasa

  11. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar Es salaam: Umebadili umiliki wa chombo chako cha moto?

    Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto 1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi 2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya efd toka kwa mwanasheria aliyepitia mkataba huo 3:TIN ya mnunuzi 4: Kiapo cha umiliki 5: Picha...
  12. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: TRA yavunja rekodi ya makusanyo mwezi Desemba, 2024

    Dar es Salaam, 01 Januari, 2025: Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi...
  13. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Taarifa kwa Umma kutoka TRA

    Tunashukuru kwa maoni na kuthamini na tutaenelea kutoa taarifa na elimu kuhusiana na kodi
  14. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Taarifa kwa Umma kutoka TRA

Back
Top Bottom