Recent content by Tprecious

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lete mzigo wa odd kama Jana mana Jana tumemkosakosa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni gani
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mbali na Azam TV, Je, TBC nao watarusha matangazo ya CHAN?

    Ukiangalia kwa apa kwetu nchini TBC ndo televisheni ya TAIFA,na hii michuano ni mikubwa barani Africa na mpaka Sasa Azam na dstv washatangaza tayari wataonyesha swali ni je TBC wataonyesha hii michuano?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukran mkuu ngoja nianze kutafuta mtaji leo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka kama nakuelewa ngoja nianze kutembea na mikeka yako
  6. T

    JamiiForums Tanzania Bawasiri ya ndani na tiba yake

    Kwa anayefahamu dawa yake naomba anisaidie mana imesababisha kinyama kitoke Hali inayosababisha maumivu makali,Minpo Dodoma ingawa hapa Dodoma kuna dawa zike za wasuni ila sijazijaribu naombeni ushauri wenu mana operation siitaki kabisa
  7. T

    JamiiForums Tanzania UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Azam kesho ijumaa wanaonyesha mechi gani?
  8. T

    JamiiForums Tanzania UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Azam kesho ijumaa wanaonyesha mechi gani?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa ya mashilingi kichwani

    Ok nilitaka tu kufahamu iyo huduma tumpatie mara ngap kwa siku?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa ya mashilingi kichwani

    Asante mkuu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa ya mashilingi kichwani

    Kumbe na hii inasaidia,asante
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa ya mashilingi kichwani

    Asante mkuu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tupeane mrejesho kuhusu kupanda madaraja

    Natumaini mpaka sasa wengi mmeshapata mshahara,vp mmekuta mabadiriko yoyote hususani wale mnaopanda madaraja?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie dawa ya mashilingi kichwani

    Jamani mtoto wangu anasumbuliwa na mashilingi kichwani tumejaribu baadhi ya dawa zimegoma, naombeni mnisaidie dawa nzuri ya kumtibu hadi yaishe
Back
Top Bottom