Recent content by TOZI NJAA

  1. T

    JamiiForums First year karibuni sana mkwawa university

    Wote mliopata nafasi ya kujiunga na MUCE mnakaribishwa ile mbaya. Ila kiukwel kitabu cha pale MUCE ni hatari isiyopimika.
  2. T

    JamiiForums Mkwawa university kuna kozi tata usipime (history)

    Unataka kusoma histry na nn?
  3. T

    JamiiForums Mkwawa university kuna kozi tata usipime (history)

    History ni noma yan unapotea njia unajiona
  4. T

    JamiiForums Kama una maswali kuhusu CHUO CHA MKWAWA tujadiliane hapa..!

    Ndugu zangu kama una swali lolote kuhusu chuo cha mkwawa tuulizane hapa.
  5. T

    JamiiForums Mkwawa university kuna kozi tata usipime (history)

    Habari zenu ndugu wadau wa JF? Kwa wale mliochaguliwa MUCE nawapongeza sana. Ila kuna kozi matata sana inaitwa HISTORY yaan ukijichanganya kuisoma kozi hii ujue hakuna muda wa kulala. Kiukweli semister zote mbili kozi hii imetuzingua wengi sana. Kikubwa tuombeane ili tufanikiwe. I wish u...
Back
Top Bottom