majina ya waliochaguliwa kujiunga na UDSM mwaka wa masomo wa 2013-2014

baada ya kiu ya muda mrefu ya wanafunz waliomba UDSM mwak wa masom 2013-2014 kubaki na bumbwazi huku vilio vikitanda kwa kile kilichosemekana kua idadi kubwa ya waombaji kutolewa nje kwa kukosa vigezo.majna ya waliofanikiwa yap blog ya www.udsm.ac.tz

unamtindio ww
 
mpaka hapo sijui kama kweli TCU wamekuchagua,nahisi ungejaribu third selection ili upate chuo kizuri unaonekana dogo ni kilaza sana
 
hamna oil sumu,km uko dar kachukue pale main campus ila kama uko nyanda za juu kusini kachukue pale iringa,kwa sababu hizi admission huwa znaandaliwa main campus af uzuri wake zmeandikwa UDSM na siyo MUCE
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom