Recent content by Totozuriiii

  1. Totozuriiii

    Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

    Umemanisha duka la nafaka au mgahawa mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Hati ni ya serikali za mitaa..unaweza kukipima mwenyew ,kwa ukubwa wa kiwanja upimaji hausumbui Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Ipo mkoa wa pwani, wilaya mlandizi ( kibaha vjjn) kituo vigwaza unaingia ndan km18 huko ndipo ilipo bandar ya nchi kavu SGR pia itakuwa na kituo pale Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Bado nasubiria wakunikopesha Wananzengo! Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Totozuriiii

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Kumbe warangi tumo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Totozuriiii

    Mradi gani wa kiuchumi unaweza kuanzisha kwa kutumia fedha za mafao kiasi cha Tshs 90,000,000/-?

    Afanye biashara ya urembo au vitu vya kike, hasahasa Handbags za jumla unazifata nje ya nchi, achukue frem kariakoo au mwenge....atumie kama 30milion au 40 milion..handbags znalipa Au afungue pub au bar ya kueleweka pande za dodoma. Pia atafute eneo afanye ufugaji wa kuku mdogo kama kurelax...
  7. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Kwa kweli sina iko kiungo kinachoitwa papuchi..pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Asante kwa ushauri..lakini kuuza kwa m2 hapana ...ni bora nikaghairisha nililoplan kufanya ....pia naomba uwe na kumbukumbu uko kwala ulipopaita porini jinsi maeneo yatakavyopanda bei soon...nafikiri ungepitia youtube ukaona bandari inayojengwa kwala si ya kitoto..pia yarp merkez wapo kazini...
  9. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Ooooh kumbee...ndo mana nikampotezea Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Kiwanja kipo mahali pazuri, na kuna bandari ya nchi kavu...bei yake haifanai na kwala sehemu nyingine...kipo karibu na ofisi ya serikali za mitaa...kuna sehemu eka moja adi milioni moja na nusu...lakini mtaniwia radhi kiwanja changu kipo sehemu nzuri na thaman yake n tofauti na kwingine Sent...
  11. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Naona mnateseka sana...hakuna aliyelazimishwa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Totozuriiii

    Nahitaji mkopo wa milion tatu na nusu kwa riba, nalipa ndani ya miezi miwili , dhamana ni kiwanja changu.

    Nenda na milion moja yako kwala, tafuta kiwanja pale centr cha bei iyo...ukipata ntakupa na changu bure kama nyongeza Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom