Recent content by totole

  1. totole

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Jiongeze mkuu..Acha kukariri vitu nenda shamba kalime maana unahakili za kitoto
  2. totole

    Tunatengeneza websites BURE, domain registration BURE

    Bure kivipi,unatumia language gani kutengenezea??domain bei gani Acha kubabaisha watu hakuna web serious chini ya 1m na hapo host na domain juu ya mteja.vinginevyo utapewa web ya kucustomize template nayo utasimama useme una website. Sio kila anae soma post yako anajua kuhusu web. So usiibie...
  3. totole

    Gari imeibiwa ikiwa na mtoto mdogo ndani yake maeneo ya Mbezi

    Gari hilii hapaa limeonekana fuatilia
  4. totole

    Smart phone mpya kwenye box bei sawa na bure..Utakosaje kwa mfano

    WEWE TU USHINDWE KUMILIKI SMART PHONE YA KIJANJA. Tecno L8 mpya haijafunguliwa full box battery =5050mAh(uwezo wa kukaa na charge 1 week bila kuwasha DATA na 3days DATA ON) camera=8.0 to 2.0mp memory=16GB RAM=1GB bei laki 180 Fixed price... ZIMEBAKI CHACHE WAHI SASA
  5. totole

    Ofa ofa new Tecno L8 bei sawa na bure...

    hiii ndo ninayo tumia n L8 nadhan umesha iona sasa..ukitaka unapewa mpya haija funguliwa kwenye box
  6. totole

    Ofa ofa new Tecno L8 bei sawa na bure...

    sasa mm nauza full box sija fungua na ninayo sample ambayo naitumia so ukiafikiana n sample nakupa box lako unalifungua mwenyew unanipa changu..
  7. totole

    Ofa ofa new Tecno L8 bei sawa na bure...

    hyo hata jumla hupati mkuu huko n kuuziwa simu mbovu sasa
  8. totole

    Ofa ofa new Tecno L8 bei sawa na bure...

    ila ipo fast kwa hyo 1GB
  9. totole

    Ofa ofa new Tecno L8 bei sawa na bure...

    WEWE TU USHINDWE KUMILIKI SMART PHONE YA KIJANJA. Tecno L8 mpya haijafunguliwa full box battery =5050mAh(uwezo wa kukaa na charge 1 week bila kuwasha DATA na 3days DATA ON) camera=8.0 to 2.0mp memory=16GB RAM=1GB bei laki 180 Fixed price... ZIMEBAKI 5 WAHI SASA
Back
Top Bottom