Recent content by toto2000

  1. toto2000

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    DKT SAMIA SULUHU HASSAN Kila anapopita, anageuza maeneo kuwa bahari ya watu 🌊. Ni ishara kubwa ya imani na matumaini wananchi walionayo kwa Mama Samia. Oktoba 29 ni kura kwa Mama Samia bila shaka 💚💛. #Haijapatakutokea #KurayakwanzaKwaSamia
  2. toto2000

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama yetu mpendwa, Rais Samia Suluhu Hassan, Tunatoa shukrani kwa uwekezaji mkubwa katika elimu. Kupitia mradi wa SEQUIP, maabara za kisasa zimejengwa katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyopo Kata ya Udinde, Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. Maabara hizi zimekuwa nguzo ya maendeleo ya...
  3. toto2000

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama yetu kipenzi, Rais Samia Suluhu Hassan, Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wako imara, Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Hatua hii imeleta faraja kubwa, kwa kuwa sasa walimu wetu wanaishi karibu na shule, wakipata muda zaidi wa kuwafundisha na...
  4. toto2000

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama yetu mpendwa, Rais Samia Suluhu Hassan, Tunakupongeza na kukushukuru kwa moyo wa huruma na upendo kwa wananchi. Kupitia uongozi wako imara, wakulima 109,373 wa mkoa wa Songwe wamenufaika na mbolea ya ruzuku yenye thamani ya shilingi bilioni 75.14. Ni hatua kubwa inayodhihirisha dhamira...
  5. toto2000

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia kipindi cha UONGOZI wake katika mkoa WA Dodoma ametoa zaidi ya 10T katika kuboresha na kuanzisha MIRADI katika mkoa hii kazi nzuri sana inayofanywa na Mheshimiwa Raias wanadodoma tunapaswa kumpa Asante Mheshimiwa RAIS Dkt Samia suluhu Hassan
  6. toto2000

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu, ikiwemo kuimarisha miundombinu ya shule na utekelezaji wa elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Hatua hii inalenga kuhakikisha kila mtoto ana...
  7. toto2000

  8. toto2000

    Polepole ni mwana siasa wa uongo kupitia kiasi

    Unayoyasema hayo unauthibitisho nayo ?
  9. toto2000

    Polepole ni mwana siasa wa uongo kupitia kiasi

    Awapi haiwezekani hata mara moja
  10. toto2000

    Kama anayosema Polepole ni Kweli, inamaanisha tunaongozwa na serikali yenye wahalifu na haramu

    Ameshindwa kuwa kiongozi Mwenye UTU na NCHI yake Ameamua kupambania maslahi yake kulipwa PESA na watu kwajili ya kuhamasisha ujinga kwa baadhi ya watanzania wenye Roho ya Ukawa #Haijapatakutokea #Kurayakwanzakwasamia
  11. toto2000

    Polepole ni mwana siasa wa uongo kupitia kiasi

    Hii aina ya siasa anayofanya polepole ndio aina ya wanasiasa wengi Tanzania ambao hawana malengo wanatumia majina yao kuwashawishi na kuwadanganya WANANCHI kuwaminisha kuhusiani na gharama za nishati na wanaamini kwamba WANANCHI hawawezi kutafuta uthibitisho wowote juu ya propaganda zao
  12. toto2000

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Tunamchagua Dkt. Samia Suluhu kuwa Rais kwa uongozi wa vitendo, mshikamano wa taifa, maendeleo ya wananchi, diplomasia imara na haki kwa wote. Dkt. Nchimbi kama Makamu wa Rais kwa uzoefu, uadilifu na mshirika thabiti wa maendeleo. #Haijapatakutokea #kurayakwanzakwasamia
  13. toto2000

    GE2025 Nguvu ya CCM ni Umoja wa Chama na Umoja wa Taifa

    Dkt. Bashiru Ally Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli za Kampeni. Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe.” — Dkt. Bashiru Nguvu ya CCM na uwezo wake...
  14. toto2000

    GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    Si kweli Mama amefanya kazi kubwa sana Hadi kufikia hapo wew ni muongo tu
Back
Top Bottom