Recent content by TOTO KUBWA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Makamba amesaidia kushushwa kwa gharama za simu, Nampongeza sana

    Makamba sio fisadi, ni kiongozi safi kabisa, sema humu mafisadi wana mradi maalumu wa kumchafua Makamba, tena wanaomchamfua wametumwa na wazeee, hao wazee watawasaidia nini?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Makamba amesaidia kushushwa kwa gharama za simu, Nampongeza sana

    Kweli kabisa, kama akiomba urais bora tumuamini huyu kijana mwenzetu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Shinyanga Mjini wahamia ACT- Tanzania

    ukawa ndio nini?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Shinyanga Mjini wahamia ACT- Tanzania

    kila atakae kilaan chama teule nae atalaaniwa, karibu act utakuwa huru, HII LAANA INAKUHUSU,
  5. T

    JamiiForums Tanzania ACT inavyoenda kupenya kati ya UKAWA na CCM

    udini ni sumu mbaya mkuu
  6. T

    JamiiForums Tanzania ACT inavyoenda kupenya kati ya UKAWA na CCM

    Act nyie mbona hamueleweki? Nasikia mnaungana na cc kukubali katiba ya vijicent, kiongoz wenu wa mwanza ndio kafunguka hivyo.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kama uwepo wa UKAWA ni ndoto, basi ACT-Tanzania kwenda Ikulu 2015 ni ndoto pia

    ha ha ha ha ha kweli kabisa.
Back
Top Bottom