Recent content by Torra Siabba

  1. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

    Hawa Viongozi wa Serikali wakati Mwemgine Hamnazo, Msigwa haangalii hata Nyakati kweli? Holyday Barua gani inapelekwa? 😁
  2. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa kulipia maji Iringa uwe automatic Mtu ukilipa tu maji yaanze kutoka

    Mimi ni Mwananchi kutoka Iringa, kero yangu kubwa ni kwa IRUWA (Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA) kuna wakati tunanunua maji token hazirudi siku moja mpaka mbili. Hii ni kero kubwa sana kwangu na kwa wengine, nashauri mfumo wa kulipia maji uwe automatic mtu...
  3. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji Kilosa umeanza upyaa, Rais Samia ingilia kati haraka, kuna hatari kubwa

    Kwa masai walivyo na hila wakila kwenye shamba lako Mifugo yao ikafa si watatuangamiza sisi na Familia zetu?
  4. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji Kilosa umeanza upyaa, Rais Samia ingilia kati haraka, kuna hatari kubwa

    Sasa inabidi viongozi waingilie kati, maana Rushwa siku zote ni adui wa Haki
  5. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji Kilosa umeanza upyaa, Rais Samia ingilia kati haraka, kuna hatari kubwa

    Habari za muda huu waungwana, naomba kutoa kero yangu haswa kwenye Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilosa, mimi ni mkazi wa Dumila. Kumekuwa na kero ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai kuingiza ng'ombe kwenye mashamba ya watu yenye mazao bila hofu yoyote ile. Nasema hivi sababu nishalima Kimamba...
  6. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) ‘kiwaondoe’ wanaonunua Ubunge

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinaketi mjini Dodoma kwa ajili ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba kukiwakilisha chama hicho katika nafasi za ubunge na uwakilishi, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakaofanyika Oktoba 29. Jana Jumamosi, CCM kilifanyia marekebisho kile kifungu cha...
  7. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

    Tafakuri pana sana
  8. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

    Mbona wamemkataza kufanya mahojiano yake sasa muheshimiwa.
  9. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

    Ahojiwe kama Mwananchi wa kawaidw kwani kuna ubaya?
  10. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

    Labda tujue sasa
Back
Top Bottom