Recent content by Toromeeeeeee

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake na harufu mbaya ukeni

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake na harufu mbaya ukeni

    Daaaaa Hii kweli nayo inachangia
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitajika haraka

    Hii ni kuonesha jinsi gani nilivyo serious lakini haina maana ya kwenda kimwendo kasi
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitajika haraka

    Kimo cha kati haimaanishi ufupi ila sio mrefu sana wala.mfupi
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitajika haraka

    Mimi mcha Mungu kimo cha kati Elimu bachelor degree Kazi mwajiliwa serikalini
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake na harufu mbaya ukeni

    Kuna sababu nyingi zinazopelekea kutoka harufu mbaya ukeni kubwa ikiwa ni fangus ambayo hutokana na kutofanyia usafi vizuri uke pamoja na kubadilisha sana wanaume ambao huwezi kuhamisha bakteria hao wa fungus toka mwanamke mmoja hata mwingine Wengine fungukeni visababishi vya harufu mbaya ya...
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anahitajika haraka

    Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu Sifa ●Mcha Mungu na mpenda maendeleo ●Umri miaka 18-30 ●Mrembo mweupe au mweusi mwenye shape atapewa kipaumbele ●Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato ●Mkweli na mtulivu fursa itakuwa yake Mimi mcha Mungu kimo cha kati Elimu bachelor degree...
Back
Top Bottom