Nauza pilipili mbuzi,shamba lipo bagamoyo,kilo 1 ni Tsh.1500 au debe Tsh.10,000 .pilipili zipo katika ubora wake...
Kwa anaye hitaji,wasiliana nami kupitia..
-0766767539_voda
-0677459677_tigo
Nyote mnakaribishwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwa mafanikio ulio fikia hadi sasa.
-Ningependa kukuuliza juu ya soko ya bidhaa zako za shambani huwa unapata kwa namna gani?
-Pia ningeshukuru sana kama ungenisaidia soko la pilipili,nimepanda heka 1 ,ya pili pili na zime stawi kwl nipo mchumo wa kwanza ila naona soko limekuwa...
Nauza pilipili nilizopanda shambani Bagamoyo kwa anayehitaji anitafute kwenye namba zifuatazo, kwa mawasiliano zaidi.
0766767539_voda
0677459677_tigo
Tafadhali mfahamishe na mwezio
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wanajamii forum,bila kupoteza muda nlikiwa naomba maoni na mitazamo mbalimbali juu ya biashara ya mabasi ya mikoani.ningependa kupata ujuzi namna wamiliki wa mabasi ya mikoani hufanya ili kuepusha uwizi wa hela ya mlangoni(hela ya njiani). Pia ningependa kufaham namna uongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.