Recent content by topson92

  1. T

    JamiiForums Kukosea kujisajil nacte-cas 2014/2015

    Naombeni kama kunayeyote ambae amewahi kukosea au kuchaganya chochote pale anapofanya usahili wakujiunga na chuo kikuu kupitia NACTE-CAS kama kuna uwezekano WAKU-EDIT/KUREKEBISHA pale ulipokosea mfano SHULE/PHYSICAL IMPAIRMENT na vinginevo.
  2. T

    JamiiForums Kujisajili kwa ajili ya kujiunga na vyuo vikuu 2014/2015

    Asiante kaka.samahani sana maana nlichanganyikiwa asee.samahani kwakuwakera ndugu zangu
  3. T

    JamiiForums Kujisajili kwa ajili ya kujiunga na vyuo vikuu 2014/2015

    Nimekosea kujisajili nakuchanganya baadhi ya vitu hivo naombeni yoyote mwenye uelewa au anaweza kuedit/kurekebisha pahala ulipokosea....Tafadhali ni muhimu sana
Back
Top Bottom