Recent content by Top77

  1. Top77

    Watu watatu wafikishwa Mahakamani kwa kosa la mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita

    ...Swala la kuwa na mwili Ni asili tu Kuna madogo was miaka 2004,2005 na 2006 ukiambiwa ndo miaka waliyozaliwa na miili yao unaweza ukabisha
  2. Top77

    Computer4Sale Nauza desktop ya dell

    Nauza destop Aina ya dell Bei 160,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali:Imetumika Mahali:Mkoa wa Dar es salaam Simu no 0717265343 Karibu.
  3. Top77

    Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

    Ukiwa na connection jitihada duni siku anayekubeba akitoka unapossibility ya kuyumba
  4. Top77

    Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

    Si utafute internal transfer mkuu Hapo Sasa ni kupambana, connection zinatafutwa hazijizenyewe huyo jamaa ninayemsema alipambana Sana akafanikiwa
  5. Top77

    Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

    Kuna jamaa yangu alikuwa transport office katika halmashauri katafuta transfer kahamia chuoni sahivi nii tutorial assistant salary scale imebadilika yaani Kam una check number unaweza hamia taasisi yoyote ya umma komaa kutafuta transfer
  6. Top77

    Naomba kujuzwa kuhusu mishahara TRC

    Pole tafuta uhamisho uhamie katika taasisi nyingine ta umma,internal transfer hahaaa
  7. Top77

    Computer4Sale Desktop aina ya dell

    Nauza destop Aina ya dell Bei 160,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali:Imetumika Mahali:Dar es salaam Karibu..
  8. Top77

    Computer4Sale Desktop Computer dell

    Mwenye 160K aje nimpe.
Back
Top Bottom