Vijana wengi wanakosea na wanabadilisha maana ya biashara kuwa utapeli, hata humu unakuta mtu ana comment kuwa jamaa kaja kichwa kichwa kwani biashara inataka kufanywa na watu walio wajanja wajanja tu au wahuni? Ndio maana kuna platform za matangazo ili kuwahabarisha hata waliokuwa hawana...
Sawa mkuu, kwakuwa ni mshikaji wangu sana mbali yakuwa wapenzi nadhani nitatafuta muda wa kudiscuss nae kuhusu haya, maana nilitaka ABC ili nikifanya maongezi nae niwe na pakuanzia kama ushauri wa kutafuta solution kwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.