Recent content by toomuch

  1. T

    Kampuni ipi imebobea kuchimba visima virefu vya maji Dar?

    Wakuu asanteni kwa maoni yenu, ila bado nipo kwenye njia panda -kusema ule ukweli kampuni ni nyingi zilizotajwa na kila kampuni huenda inasifa zake. kama kuna mwenye data (faida za kuitumia kampuni fulani basi) asisite kutumwagia mchele kwenye kuku wengi
  2. T

    Kampuni ipi imebobea kuchimba visima virefu vya maji Dar?

    Wadau kuna yeyote ambaye amechimba kisima na hawa jamaa wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wa ubungo? Nasikia wapo shwari sana. Naomba atupe tathmini yake kama wanafaa (kwa kufanya survey na kisha kuchimba). Na kama wapo wengine basi chapisha majina yao bila kusita. Hivi diameter...
  3. T

    Gharama ya kutengeneza kisima Dar

    Wadau kuna yeyote ambaye amechimba kisima na hao jamaa wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wa ubungo? Naomba atupe tathmini yake kama wanafaa (kwa kufanya survey na kisha kuchimba). Watu wamezungumzia diameter ya kisima, kisima kikubwa kabisa (kulingana na mabomba yaliyopo sokoni) ni...
Back
Top Bottom